Posts

Showing posts from March 22, 2020

HII NI NAMNA UNAVYOWEZA KUJIKINGA NA KUPATA VIRUSI VYA KORONA

Kuna njia kadha wa kadha za kuweza kujikinga na gonjwa hili hatari la korona ila nimekuletea baadhi ambazo zitakusaidia kwa namna moja ama nyingine:Naomba kaa kitako uweze kuzisoma kwa umakini na uzielewe ili uweze kuwa salama usipate gonjwa hili lililotikisa dunia kwa sasa.Njia hizo ni;     Kuosha mikono yako mara kwa mara na maji ya moto na sabuni ( kwa lugha ya kizungu sanitizer). Hii inakusaidia kuweza kuzuia usambaaji wa virusi hivi kwani unapokuwa katika mazingira tofautitofauti unaweza kujikuta umeshika sehemu ambayo mwathirika anaweza kuwa alipita na kugusa eneo hilo kwa hiyo kwa hiyo kwa kuosha na maji hayo ya moto pamoja na sabuni (sanitizer) kunafanya vijidudu vile kuweza kufa na kushindwa kufanya kazi.   Kaa mbali mita moja(1) na mtu anayekohoa/kupiga chafya;hutakiwi kuwa karibu na mtu mwenye kikohozi au mafua kwani unaweza kukuta tayari kashapata maambukizi ko kwa kupiga chafya au kukohoa kunasababisha kumuathiri na mtu mwingine pia ko la msingi ni ku...